MyLyricsFinder

Wiper

Chege

Lyrics

Wiper, wiper, wiper Wiper, wiper, wiper Wiper, wiper, wiper Wiper, wiper, wiper Starehe kila kukicha Aiyaya yayayaya Yaani starehe ni kila kukicha Aiyaya yayayaya Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Kwenye beat mi napita kama Babylon Niko chicha mita mia mbele mi sioni Hizi hisia za kiras toka maghettoni Nina sinzi mpaka beiby gari sizioni Kwani mko wapi? Si tupo huko tunakula starehe Vua mpaka shati juu ya mizuka kupanda Tuchonge kiparty(Just like that) Tukitimba, gangari wee Gangari eh eh eh Tukiwaka, gangari wee Eeh eh eh ... Starehe kila kukicha Aiyaya yayayaya Yaani starehe ni kila kukicha Aiyaya yayayaya Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Ukishafika umri wa baleghe Ndio wakati wa starehe So macho kwa kalenda Tunacheki tarehe, za mshahara Kisha tuianze sherehe Alafu wavuta sigara sio chuki ka Wyre Wana laana kama hawana wazazi hawa watoto Na leo wamekutana na mvunja nazi kwa uki Ukitaka piece, kanyaga Team mafisi hatunaga Akisha tupande ibilisi Hatujagui pa kumwaga Yaani, aah eeeh kama wiper Ni Roma na baba Yada yaani shah kama magdem Nawazoom zoom yaani nawalenga kama sniper Nikimwaga sumu wanajua mi ndo tiger Sa ona mi nishawakawaka Na bado mapema mi nasakasaka Sioni mbele naona tu masinema na matakataka Muwe na siku njema mi nishalewa nyakanyaka Starehe kila kukicha Aiyaya yayayaya Yaani starehe ni kila kukicha Aiyaya yayayaya Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Wiper eeh, wiper aah Haujaniwasha, najiwasha kama lighter Wiper eeh, wiper aah Mtoto karidhika kalideng'a la kitiger Shori, come close to mi Stori, njoo uplease nami Shori, shika glass ya wine Shori, leo ni kuku na maini Starehe kila kukicha Aiyaya yayayaya Yaani starehe ni kila kukicha Aiyaya yayayaya Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper Aah eeeh kama wiper