Lyrics Timed, click a line to jump
An'mwagika, an'maliza
Aah aah, kan'bakisha
Juu chini, up and down
Cheki
Akiget down
Msupa anachachisha
Na daily tunazoza
Si unacheki naririma
Nadunga ma-Adidas
Nachoma adi kwa giza
Na msupa akitingisha
Utabaki ukibingirika
Ati why why?
Msupa si ana dirty whine
Na dirty whine
Sinafanya fala anazirahi
Aki walahi
Si amebeba, mi siezi deny
Hawezi hide
Anasema anapenda ku-ride
Aki get down
An'mwagika, (ah) an'maliza
Aki get down, kan'bakisha
Juu chini, up and down
Aki get down
An'mwagika, (ah) an'maliza
Aki get down, kan'bakisha
Juu chini, up and down
Yeah
Wangapi nimewadanganya mara mob-mob
Wangapi nimewakatia na ka soft tone
Wangapi wameniambia niende mos-mos
Nikuwe militan, niashe moto
But excuse me miss
Unaeza nipa introduction
Together me and you tunaeza nunua kiamaiko
But rules ni these, unaeza jikunja ka laptop
Poof the leaf, ukinichorea ka circle
Wangapi wamejiingiza kwenye photo
Si tuingie wote, tuende local
Ukiburn tunaburn, choma photo
Na bado half time tuchote toto
Ukiniona nimestand juu ya speaker
Kiunoni fanny pack ya Adidas
Imeseti G-bag ya cannibas
Sina mda na mtu —
Aki get down
An'mwagika, (ah) an'maliza
Aki get down, kan'bakisha
Juu chini, up and down
Aki get down
An'mwagika, (ah) an'maliza
Aki get down, kan'bakisha
Juu chini, up and down
Usijishuku, anza kukati-ti-ti-ti-ti-ti-ti-ti
An'mwagika, an'maliza (ah)
Kanibakisha, juu chini, up and down
Can't get it out of your head? Play “Get Down” yourself.
Find the sheet music