MyLyricsFinder

Furaha

Harmonize

Lyrics

Bombo claaaat Oh konde boy call me number One Yani niamini Leo nime gundua utofauti kati ya Raha na furaha do you know that Hii Dunia ina mambo eti kumbe Kuna Utofauti kati ya raha na Furaha eee Umh, kale ka distance baby sikuone Eti Nika jiona nisha move on Uta zani na enjoy, pombe zime Nichosha Nipo hoy ee Dunia ina siri, sio kila anae Kula rah moyoni mwake Ana furaha ee Lord have mercy Nisha gundua Furaha yangu ni wewe Kule nili pata raha ila nika gundua Furaha yangu ni wewe Kwa wengine nita ji sumua Furaha yangu ni wewe Hata siku ni kifa Naomba uni zike wewe Mi na wewe, wewe Siri ya nini oh Acha nikwambie moyo wangu Una tamba nao Nawasi ku tishie wengine wanao Taka wao Nilazima wai chukie ii cup sio Level zao Asubui tuki gombana usiku ndo Wapatanao umh eee Kale ka distance baby sikuone eti Nika jiona nisha move on uta Zani na enjoy pombe zime nichosha Nipo hoy ee Dunia ina siri sio kila unae mwona bar moyoni mwake ana furaha ee Lord have mercy Nisha gundua Furaha yangu ni wewe Kule nili pata raha ila nika gundua Furaha yangu ni wewe Kwa wengine nita ji sumua Hata siku ni kifa naomba Uni zike wewe Mina wewe, weewe Yo yoo It's konde boy call me the Number one Bakhresa aah Konde music worldwide Mama sitaa Tekero tyokara Mi amor