MyLyricsFinder

Lyrics

Eeeh... Black. Nishapendaga nikachukia Nishakula bata adi kuku wakaona donge Nishajengaga na kubomoa Zile hayawe hayawe utaona Ndani joto, nje jua Na ukiona giza totoro (washaukata) Nyie machoko msichojua Mie nae ni namba Chafu Chafu Chafu Chafu (kaitupa nangwa, akavipeleka shimoni) Nipe nipe nataka tena ooh nipe tena (unavimba) Mbele nafanya yangu, Nyuma unachezea (puloogo) Zile maji kujaa, maudhi karaha, maji kupwa Kugeuzwa mshumaa usipokomaa ndo unakufa Mana ndani joto nje jua Na ukiona giza totoro (washaukata) Nyie makoko msichojua Mie nae ni namba Chafu Chafu Chafu Chafu (kaitupa nangwa, akavipeleka shimoni) Ndani jotoo nje jua Washaukata Nyie makoko msichojua Mie nae ni namba Chafu Chafu Chafu Chafu Blackbeats

Can't get it out of your head? Play “Chafu” yourself.