MyLyricsFinder

Mlete

Nandy

00:13.35 “Eti hana kitu, mi' nd'o ni'shapendana nae”

Lyrics Timed, click a line to jump

Zombie akipiga ka' hapigi tena
(The African Princess)
(S2kizzy baby)
Eti hana kitu, mi' nd'o ni'shapendana nae
Hajui kuvaa, ila mi' nd'o natoka nae
Sio mzuri sana, ila naendana nae
Si ananifaa, nd'o mana nadunda nae
Kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka' una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
Aah-aah-aah
Ka' una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite) eeh
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
We' kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka' una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
Hodi, hodi, shemeji record
Zombie mwenyewe nd'o kapiga ma-chord
(Hodi, hodi, shemeji record)
(Zombie mwenyewe ndo' kapiga ma-chord)
Oya, oya, oya, oya
Mi' na maanko sina anko boya, boya
(Oya, oya, oya, oya)
(Mi' na maanko sina anko boya, boya)
We' kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka' una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
Aah-aah-aah
Ka' una baby wako
(Mwite, mwite)
Tumthaminishe
(Mwite, mwite)
Basi mpost tumuone
(Mwite, mwite) eeh
Tumpambanishe
(Mwite, mwite)
We' kama una wako-ooh
(Mlete)
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
(Mlete)
Ka' una chuma chako-ooh
(Kilete)
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
(Kilete)
Kamix Lizer

Can't get it out of your head? Play “Mlete” yourself.

Find the sheet music