Lyrics Timed, click a line to jump
(Oh-oh-oh, The African Princess, mh-mh-mh)
(S2kizzy baby)
Siku kama hizi, tuliziona ndotoni tu, ndotoni tu
Kidogo siku hizi, na sisi tuna nafuu, tuna nafuu
Kichwani siko sawa, akili sina
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima mzima
Oh-oh, sugar, ni tamu asali, ni tamu hatari, ni tamu sana
(Oh-oh, sugar, ni tamu asali, ni tamu hatari, ni tamu sana)
Oh-oh, sugar, ni tamu asali, ni tamu sukari, ni tamu sana
Shida sio mimi, shida sio wewe, shida ni moyo wangu
Shida sio wale, shida sio kule, shida ni moyo wangu
Kichwani siko sawa, akili sina
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima mzima
Oh-oh, sugar, ni tamu asali, ni tamu hatari, ni tamu sana
(oh-oh, sugar, ni tamu asali, ni tamu hatari, ni tamu sana)
Oh-oh, sugar (sugar, aah) ni tamu asali (sugar, aah), ni tamu hatari (sugar, aah) ni tamu sana
Oh-oh, sugar (sugar, aah) ni tamu asali (sugar, aah) ni tamu hatari (sugar, aah) ni tamu sana
(Kamix Lizer)