MyLyricsFinder

Una

P-Unit

Lyrics

Paukwa Pakawa Jomino Bt offcouse Wahenga walidedi wakaacha watoi Watoi waohawangeitwa wahenga So wakaitwa wagenge P-unit dna Unaaaaa Una jump una ruka kuna shida zina shuka Una jump una ruka kuna shida zina shuka Unaaaaaaaaaaa hauna aha aha ahaa Unaaaaaaaaaaa hauna aha aha ahaa Una ruka mkojo una kanyaga mafi Una hepa bike una gongwa na basi Una zima ka fegi una setua kidogo Una omba unapewa na hauna condom Una dhani mizuka kumbe kichwa iliruka Una vuta shuka wenzako wana rauka Unaaaaaaaaa hauna Jeah Una hama inchi yako uka ishi ulaya Una hepa mshamba unaoa malaya Unauza tv unanunua trolley Una dondoka nganya una dandia Lorry Una thani ni bengi unapata ni fegi Una lala unono unapata ulidedy Unathani nimababi unapata wagenge Una ona bona ela kumbe ni chege Unaaaaaaaaa hauna Unaaaaaaaaaa hauna Una jump una ruka kuna shida zina shuka Una jump una ruka kuna shida zina shuka Unanijua mi ni ule boy uwa na wauwaaaa Unanijua nikipewa traki kazi kuraruaaa Unanijua manziyako mweke mbali nita mraruaaaaaa Una nunua uliza mambo yangu mimi hupatiwa Okay... una shuta una hara Unajipaka mafuta una parara Una sahara nina msafara Una kipara ngepa ninang'ara Una sota ninamshahara Una nisanya kumbe niko rada Unajifanya kumbe na kumada Zikishika unainuka Una ruka una jump Una shuka shida zinashuka Aaaaah Frashaaaaaaaaaaaa Una jump una ruka kuna shida zina shuka una jump una ruka kuna shida zina shuka Unaaaaaaaaaa hauna ah ah Unaaaaaaaaaa hauna ah ah Unachapa mtoto unamwamsha ngware Anaitisha ferarre ndio aende kawangware Anataka fegi unampa mpaka nare Unaaaaaaaaaa hauna Unaaaaaaaaaa hauna Una jump una ruka kuna shida zina shuka Mi napanga kupata mkwanja Una chota ka dem kumbe ni mmadha Unachota supu taxy faster Unamwona asubuhi boss ulihata Una cheki supu una buy beer Una cheki vizuri amekuibia Unafanya upuzi kuwapea hater Nje roho juu ndani una tetemeka Una fanya exams unapata jembe Unaenda hom kama kawa sembe Ulidhani uko ndani kumbe uko njee Ulidhani una ngiri kumbe una finje Una kunywa una lewa Una dem ana bebwa Una chunguza una cheka DNA na P-UNIT walikubebea ahahahaha Auna Auna Auna Auna Auna Auna Una jump una ruka una shida zina shuka Una jump una ruka una shida zina shuka Unaaaaaaaaaa hauna ah ah ah Unaaaaaaaaaa hauna ah ah ah Unachapa mtoto una mwamsha ngware Anaitisha ferarre ndio aende kawangware Anaitisha fegi unampa mpaka nare Unaaaaaaaaaa hauna Unaaaaaaaaaa hauna Una pita Una itwa marangi Una jump una...!?