MyLyricsFinder

Mshangam

TABUU

00:21.57 “Stuck on your mind”

Lyrics Timed, click a line to jump

Umeshinda
Uki hide
Stuck on your mind
Umeshindwa kudecide
Unashanga
Ni ego ama pride
Kumbe ni kiburi
Inafanya usiwe wise
Unazama
Deep inside
Ndani ya meli na
Ina cupsize
Unajiuliza
Maswali mingi
Na ukona jibu
Right on the side
Skari ndani ya chumvi
Needle on the ground
Prodigal son
Mafuta taa ikimix na chai
Spoilers wa movie
A mix of a sound
Prodigal son
Mkata tei akimix na ngwai
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Ngam my style, ngam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Ngam my style, ngam my style
Makarao wanapatrol ndio
Makarao wanapatrol ndio waku
Makarao wanapatrol ndio waku eke
Wanapatrol wakueke ndani
Usimind maze utatoka soon
Before moon maze ikue tu full
Wale wanajudge wako busy wakiboo
Mind your biz stay tu cool
Skari ndani ya chumvi
Needle on the ground
Prodigal son
Mafuta taa ikimix na chai
Spoilers wa movie
A mix of a sound
Prodigal son
Mkata tei akimix na ngwai
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Ngam my style, ngam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Mshanipata mshangam my style
Ngam my style, ngam my style

Can't get it out of your head? Play “Mshangam” yourself.