MyLyricsFinder

Confirmation

Toxic Lyrikali

00:22.65 “Na kama hainihusu usinimention (buda)”

Lyrics Timed, click a line to jump

Mboka Doba
Stevie
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation confirmation (confirm)
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation confir' (confirm)
Naeza piga comeback mbaya kuliko ya Nyashinski
Juu nachora vitu mbaya ki-Leonardo da Vinci
Tunaivisha track na mastingo ni mbichi
Confirmation hawawezani competition iko nichi
Tunaeza ku attack tukisaka riziki
Nguvu ya kijana akili ka buda ako 60 (buda)
Nishaizama ndani juu ya ngori ya resisting
Usijudge mi ni gwash put the blame on the system
Ati same kama fish hatunanga reverse gear
Nikiwa kwa mic' mi hujiskianga ka Shakespeare
Fully bad fully east na we nuh fear
Sundua mbono fala alikulwa na bandia
Mbwa kali sijali nani atakaribia?
Mi ndio champ nikipita wananishangilia
Vidole mbili ndani ya mbosho tukikaribia
Naeneza injili ka mhubiri wa Legio Maria
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation confirmation (confirm)
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation confir' (confirm)
Niko Kayole nafeel niko in a foreign land, sipatikan'
Madem wawili ju two heads is better than one
Shoe rack airport nimejaza Air Force 1 (Air Force 1)
Siku rank ndio maana nakudiss ku confirm
Hukuli yangu ka' we si charjie, alafu sikutaji kama sikuhitaji
Hii keja ibadilikangi aroma ka Chalice
Na hama na Bravia ya ng'ondo iko furnished
Kwa ulimi zao ka saliva tumejaa kwa izo riba
Kwa hao magoshodo tumejaa kwa izo fikra
Ka' ni mzing tunarusha maviding
Ka' ni bitch tunamserve na makofi ka' barista
Pro bado ngori nafanya on probation
Mchana kwa mbulu jioni pia niko station
Mali nawapin so clean kama Dettol
No refund, no compensation (buda)
Gwara gwara winch-winch, gwara winch-winch
Nakulanga shada mi nawauzianga nich-nich
Dara-dara that bitch, dara this bitch
Nahesabu ganji kama woria wa Isich
Siezi kuwatrust mmh-eh niko sure
Mjini ni akili eeh usikuje na kifua
Akuna za bwerere labda kondiko za Sure
On the wheels mi ni kadere na ma G nimetambua
Cold ni kama niligrow Limuru na tisho
Rap mboi mbele yetu ijai kua tisho
Wimbo imbo ziko low kama Limbo
Maliza mnyonge ku warudisha kwa dumbo
No turning back kama Misri
Inaring lakini atukupangana hio si deal
Najaza album mbili na ma unreleased
Tuko ground na tunazidi kugrow kama seeds
Fake mbling wamedungia kwa izo ma reel
Kwaria kidi kumbe dikwara ni real
Fake mbling wamedungia kwa izo ma reel
Kwaria kidi kumbe dikwara ni real (confirm)
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation, confirmation (confirm)
Confirmation
Na kama hainihusu usinimention (buda)
Kwa mafala walitushow underration
Confirmation confir' (confirm)
Stevie

Can't get it out of your head? Play “Confirmation” yourself.